VIDEO: MZEE WA IRUDIWEIRUDIWE ALIAMUA KUJA TOFAUTI, SAPOTI ANAPATA

 MC Mboneke mzee wa irudiwe, irudiwe kutoka Mbeya anasema kuwa yeye maisha yake yote ya elimu na kukua ilikuwa ni Mbeya akiwa na elimu ya kidato cha sita. 


Kupitia kile ambacho amesoma amesema kuwa matokeo ambayo anayapata kupitia elimu yake ni fani yake ambayo anaifanya kwa sasa na aliamua kuja kwa mtindo huo ili kuwa tofauti. 

 

Post a Comment

0 Comments