MABORESHO KARIKA WEBSITE YA SOKALEO.COM

KUMEKUWA na tatizo la kuto kutokea picha katika posts kwenye app yetu ya SOKA LEO hivyo siku hii ya leo tumeona tuanze na maboresho katika website yetu ya sokaleo.com hivyo itachukua mda kidogo mpaka kuwa hewani tena, Tunaomba radhi kwa tatizo hilo litakapotokea.

Post a Comment

0 Comments