RONALD Koeman amefutwa kazi jumlajumla ndani ya kikosi cha Barcelona kinachoshiriki La Liga nchini Hispania ikiwa ni baada ya miezi 14 kutumia katika…
Meneja wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer anatarajiwa kusalia pale Old Trafford licha ya kipigo kikubwa alichokipata dhidi ya Liverpool.
OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa kichapo cha mabao 5-0 mbele ya Liverpool ni moja ya siku nyeusi kwake katika kazi …
DAVID Beckham imeripotiwa kwamba amelamba dili la maana la ubalozi nchini Qatar kwa malipo ya pauni milioni 150 sawa na shilingi bilioni 475. Dili hi…
UWANJA wa Stamford Bridge leo Oktoba 23 umekusanya jumla ya mabao 7 ambayo yamefungwa na Chelsea wakiikandamiza Norwich City katika mchezo wa Ligi Ku…
MSHINDI mara 5 wa tuzo ya Ballon d'Or, mshambuliaji Criastiano Ronaldo ameweza kufikisha jumla ya mechi 200 katika Ligi Kuu England ambapo kwa sa…
CRISTIANO Ronaldo, staa wa Klabu ya Manchester United inayonolewa na Kocha Mkuu, Ole Gunnar Solskjaer amekiri kuwa Ligi Kuu England ni ngumu zaidi ku…
BEKI wa Manchester City, Ruben Dias ameweka rekodi ya kuwa beki wa nne katika historia ya Ligi Kuu England kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa ligi. Ma…
KLABU ya Chelsea imeanza mazungumzo na Klabu ya Borussia Dortumund kwa ajili ya kumpata Erling Baraut Haaland licha ya kwamba kuna mazingira magumu…
MSHAMBULIAJI wa Juventus, Alvaro Morata amedai kuwa yeye ni mmoja wa wachezaji wanaomjua vizuri mshambuliaji mwenzake, Cristiano Ronaldo. Morata amb…
KYLIAN Mbappe hataondoka ndani ya kikosi cha Paris Saint Germain, (PSG) kwa namna yoyote ile kwa sasa kwa kuwa yupo kwenye mpango wa timu hiyo licha…
KOCHA Mkuu wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer amesema kuwa anahitaji kuona mabosi wa timu hiyo wakimuongezea mkataba mpya kiungo wake Paul P…
MANCHESTER United na Manchester City imeripotiwa kwamba zina nafasi ya kuipata saini ya nyota raia wa Hispania, Sergio Ramos ambaye yupo ndani ya ki…
WILLIAM Gallas, raia wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 43 anaamini kuwa, Kocha Mkuu, Mikel Arteta hakuwa tayari kuinoa Arsenal. Arsenal ilimpa kazi …
NYOTA wa kikosi cha PSG, Kylian Mbappe amesema kuwa kujilinganisha na mastaa wengine wakubwa duniani ikiwa ni pamoja na Lionel Messi, Cristiano Ronal…
LIONEL Messi, nyota wa Barcelona bado yupo sana ndani ya kikosi hicho baada ya kumalizana na mabosi wa timu hiyo kwa mujibu wa ripoti. Habari zimeele…
SERGIO Aguero, nyota mpya wa Barcelona kazi yake ya kwanza kuifanya ni kuhakikisha kwamba anamshawishi staa mwenzake Lionel Messi kubaki ndani ya k…
BEKI mahiri wa kikosi cha Chelsea, Thiago Silva anaandaliwa mkataba mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya. Chel…
JUNI inaonekana kuwa itakuwa ni mwisho wa nyota wa kikosi cha Real Madrid, Sergio Ramos kufahamu kwamba atabaki ndani ya kikosi hicho ama atasepa maz…
MCHAMBUZI wa masuala ya michezo, Martin Samuel amesema kuwa hakuna mchezaji kama kiungo mkabaji, N'Golo Kante ambaye anacheza ndani ya kikosi cha…
Social Plugin