WAWAKILISHI wa Tanzania Simba kwenye mashindano ya kimataifa wanakwenda kuandika rekodi ya kuwa timu ya kwanza kutumia mfumo wa msaada wa VAR kweny…
KUMEKUWA na tatizo la kuto kutokea picha katika posts kwenye app yetu ya SOKA LEO hivyo siku hii ya leo tumeona tuanze na maboresho katika website y…
MILTON Nienov, raia wa Brazil aliyekuwa kocha wa makipa ndani ya Simba kabla ya kuchimbishwa Oktoba 26 amesema kuwa kwa sasa yupo tayari kusaini dili…
RONALD Koeman amefutwa kazi jumlajumla ndani ya kikosi cha Barcelona kinachoshiriki La Liga nchini Hispania ikiwa ni baada ya miezi 14 kutumia katika…
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wanaamini mchezo wao dhidi Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 30 utakuwa na ushindani mkubwa ila wa…
KLABU ya Simba imetangaza kuachana rasmi na Kocha wake Didier Gomes Da Rosa raia wa Ufaransa baada ya pande zote mbili kufikia maridhiano. Hatua hii …
Meneja wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer anatarajiwa kusalia pale Old Trafford licha ya kipigo kikubwa alichokipata dhidi ya Liverpool.
MHAMASISHAJI wa Klabu ya Simba ambaye pia ni mtangazaji Mwijaku ameweka wazi kuwa hawezi kuzungumza ishu yoyote ile kuhusu ahadi yake ya kuweza kutem…
OKTOBA 25, gazeti la michezo la Championi Jumatatu lipo mtaani na nakala yake ni 800 tu waweza jipatia ukaweza kujua kuhusu ishu ya ubingwa pamoja na…
OFISA Habari wa Yanga, Haji Manara amefunguka baada ya kubwagwa kwenye tuzo za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) msimu wa 2020/21, kipengele cha Muha…
KAIMU Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Yanga, Senzo Mbatha Mazingisa amesema kuwa kila siku anazidi kufurahishwa na utendaji kazi na juhudi kubwa inayoon…
MWENYEKITI wa Simba, Murtaza Mangungu, amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia wasiogope kasi ya wapinzani wao Yanga huku akiahidi kuuba…
OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa kichapo cha mabao 5-0 mbele ya Liverpool ni moja ya siku nyeusi kwake katika kazi …
DAVID Beckham imeripotiwa kwamba amelamba dili la maana la ubalozi nchini Qatar kwa malipo ya pauni milioni 150 sawa na shilingi bilioni 475. Dili hi…
MABINGWA wa kihistoria Yanga wameendelea na mazoezi kwa ajili ya kuivutia kasi Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa…
WAKIWA Uwanja wa Ilulu, leo Oktoba 23 Wanakinoboys wamegawana pointi mojamoja na Namungo FC kwa kufungana bao 1-1. Kwa upande wa KMC ni mshambuliaji …
HITIMANA Thiery, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Jwaneng Galax ambao unatarajiwa kuchezwa Uwan…
UWANJA wa Stamford Bridge leo Oktoba 23 umekusanya jumla ya mabao 7 ambayo yamefungwa na Chelsea wakiikandamiza Norwich City katika mchezo wa Ligi Ku…
MASTAA wawili wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes raia wa Ufaransa kesho Oktoba 24 kuna hatihati ya kuwakosa mazima wapinza…
Kiungo mshambuliaji Pape Ousmane Sakho, amerejea mazoezini pamoja na wachezaji wenzake baada ya kupona jeraha la mguu lililokuwa linamsumbua. Sakho a…
Social Plugin